"Majina" la chanson qui fait mal à plusieurs artistes de Goma

"Majina" la chanson qui fait mal à plusieurs artistes de Goma

De Wanny S'King à Aspino Boy via Lakista Chance, Le Chanteur Kia-Touch attaque ses collègues à haute voix, leurs qualifiant des copies des autres artistes, une attaque non la moindre que personne ne supporte parmi les précités.
Voici les paroles de cette chanson provocatrice composée par Kia-Touch: 
Wasani mateja KIA-TOUCH gundu kwenu
Mumeji chora sana mchore piya lyrics achana nagu copie
Wasafi Mara Nigeria mwa shusha mziki wa 2goo
Mmi na umiya FK Wa funguwe ukweli wendo King the bez
Corus/1
Naona wengi wana nuna nka waambie Situsi mtu 
Staki wa seme nawa tusi navyo chara Afro Beat si bef
V/1
Chris-m ntala soco soco wez kid
Aspino boy isinge Kuwa ready ungi skika wapi goooma 
Please tell me mziki zagu copy vya watu Charli na Nina 
Mara Mr eazy tetema rayvanny
El weezya fanta boss fanta boss ulipo 
Fanya 3×sweet eeeh sweet ulisi ndiye mwanzo
Kumbe tamati isinge kweko wasafi Mara diamond
Walai I do ungi copy tena Nani labda Nigeria
Corus/2
Naona wengi wana nuna nka waambie Situsi mtu 
Staki wa seme nawa tusi navyo chara Afro Beat si bef
Nakuja wataja majina Majina eee
Nataka wataja majina Majina eee
V/2
S-king eee ulipo anza goma uli sifika
Mchezaji bila uchokozi mziki wako leo
Ni uchokozi tuuu mara wale wale suwa taje Majina
Eti hii kiti ni kiti ipi 
JKM kabaya rambo kwa matusi
Kuliya eti farao kuchoto Babylone
Mwisho niwa yuda kweli we ni Rambo
Ila leoo hii ume wakumbuka wamekwa lukandoo
Indeed for you my guy
Willo Miller fety fety cona zite eeeh nima problem tu
Corus/3
Naona wengi wana nuna nka waambie Situsi mtu 
Staki wa seme nawa tusi navyo chara Afro Beat si bef
Nakuja wataja majina Majina eee
Nataka wataja majina Majina eee
V/3
Georgine lady Linda light baby
Detty darba aaah Wendy baby
Hongera Sana dada zangu nawa penda eeen
Mlivyo tofauti na weleee ea
Lakista baby ii unayo fanya goma 
Sifaamu ni mziki ama wa fanya ngono 
Huja wai hit Kama melka kareke 
Shauli fanya ngono I do wa pendeza
Fimbo Kali III mzizi mzuri Sana matunda
Mengi mabaya sipendezi 
Hongera Dj couleur
Una maisha mema unavyo kumbusha 
Yaliyo pita kale adhisi piya Kali kwa vijana 
Wa now
Corus/3
Naona wengi wana nuna nka waambie Situsi mtu 
Staki wa seme nawa tusi navyo chara Afro Beat si bef
Nakuja wataja majina Majina eee
Nataka wataja majina Majina eee
Hii ni mtazamo tu Jc kalem's Peace Gracia
Francine kaboya tshatsha Prn
Mjm Justin makondera
Aboubacar makebur
Nkawa ambie wapandishe 
Size hao sio
Un texte écrit par Kia-Touch donnant une leçon aux artistes de Goma.
@KribiosUniversal